SUZY KAJUBILI MFANYAKAZI BORA AIRTEL

Mdau Suzy akipokea zawadi toka kwa Bosi wake

Mdau wa Airtel a.k.a 'mzee wa Befoward' Susan Kajubili ameibuka kidedea kwa kuwa mfanyakazi bora Airtel kitengo cha Huduma kwa Wateja

No comments: