MASIKINI MIILI YA WATOTO HAWA!!

Miili ya watoto 11 wakutwa wamefukiwa katika makaburi ya Mwananyamala, wapangwa na kufungwa katika shuka lenye nembo na jina la hospitali ya mwananyamala pamoja na namba na majina ambayo mtoto akizaliwa anapewa mama mzazi na mtoto hospitalini.

Mkuu wa hospitali ya Mwananyamala ahojiwa; akataa kusema chochote.

Mmoja wa walioshughudia tukio hilo akiwa anajaribu kufunika miili ya watoto hawa.

Shimo ambalo imekutwa miili ya watoto hawa!!

No comments: