KANDANDA COCA 2 VODACOM 2.....



kipute kimemalizika hivi punde ambapo Vodacom walimenyana na kikosi cha Cocacola katika viwanja vya TTCL Kijitonyama Dar es Salaam...Gemu ilikuwa tight hadi kipindi cha pili Vodacom walikuwa wakiongoza kwa Magoli mawili kwa Bila....Baadae upepo uligeuka na hatimaye baada ya kocha wa Cocacola anaejulikana kwa jina la Mourinho kufanya mabadiliko hatimaye goli zote mbili zilirudi na hivyo hadi kufikia dakika ya TISINI matokeo yakawa 2 kwa 2..

No comments: