SAGULASAGULA


machinga alieerevu niliyemtambua kwa jina moja tu la utani wanamwita 'waukweli' nimemkuta akipiga picha kigauni hiki amtumie mteja wake huko stanbic mjini...anasema anauza viwalo kwa maduu wengi tu town kwa style hii....haendi town hadi wakubaliane....du?

No comments: