KENNY na MWANGAZA WALIPOMEREMETA

Kwa heshma na taadhima maharusi walikatata keki ya Upendo
NA wakati wa cheeers

Mungu awabariki Kenny na Mwangaza katika maisha yenu mapya.Harusi ilifungwa kanisa la Baptist Magomeni na baadaye tukajiunga kuserebuka katika kiwanja cha Salendar bridge club...






2 comments:

clara said...

hongera mwangaza dear,mbona kimya kimya?haya nakutakia kheri jamani

Anonymous said...

Mwanamke mume, haswa ukimpata!!!!!!!!!

Hongera mama!