Kanumba alifika hadi Hollywood na tulitarajia mapinduzi mengi toka kwa "The Great"
Monalisa 'mkongwe' wa toka enzi za Mambo hayo.....tunakuangalia wewe utupe ladha za kibunifu zaidi hatimaye tuliteke soko la ndani na nje ya nchi
Mama Ndina......Ukitumia muda zaidi kuongeza 'suspense kwenye stori zako unaweza kutoa itu kama 'slum dog millionaire'Wadau nimewaletea hii mtwambie je kwa mwendo wa sasa tutafikia levo za Hollywood miaka mingapi ijayo???
No comments:
Post a Comment