
Kijana makini John Mnyika akisisitiza jambo kwa hisia katika mkutano uliokusanya mamia kwenye viwanja vya manzese Bakhresa,Dar es Salaam

Kusanyiko la mabadiliko lilioongozwa na John John Mnyika likikatiza mitaa ya Ubungo Bahama Mama baada ya mwendo toka Manzese.

John Mnyika anaewania kuteuliwa na CHADEMA kugmbea Ubunge jimbo la Ubungo akiwa kwenye matembezi ya Mabadiliko na wanaCHADEMA wengine wanaowania kuteuliwa Ubunge Viti maalum na Udiwani Jimbo la Ubungo

Mnyika akishusha hoja kwenye mkutano wa hadhara Manzese Dar es Salaam jana jumapili...
No comments:
Post a Comment