
Kuna habari kuwa, yule mtangazaji wa Kipindi cha Bongo Movies kinachokwenda hewani na Channel 5, Joyce Kiria ambaye ameachika, yupo bize na maandilizi ya ‘pati’ ya nguvu kwa ajili ya kwenda kupokea talaka yake mahakamani siku ya hukumu, Amani lina data za kioja hicho. Kwa more nyuuz bofya hapa
www.globalpublisherstz.com
No comments:
Post a Comment