DAKIKA ZINAYOYOMA...BRAZIL vs TAIFA STARS

Kikosi cha Brazil kitakachoshuka dimbani leo kukwaana na Taifa Stars......Tunaenda kushangilia Taifa Stars au kushangaa samba la waBrazil??wachezaji wetu je??Tukutane Uwanjani

1 comment:

Anonymous said...

nimesikitika sana kukosa mechi hii,labda kuna kitu Mungu alikuwa ananiepusha ila inshallah,imeniuma sana,coz ilikuwa ndani ya uwezo wangu.