
Mara ya mwisho nlipita kiota hiki Mwanza kikiwa hatua za mwisho za kumalizika...wadau Mwanza mmejaaliwa sana kuwa na hii kitu...pakoje sasa baada ya ujenzi kuisha?

Rock city na maujanja ya mawe na maporomoko...hapa ni njia ya kuelekea vyumbani....Honey moon ya ukweli ukienda hapa..
No comments:
Post a Comment