ZAIN STAFF PREMIER LEAGUE...REWARDZ 3-PAMOJA 1

Timu ya Rewardz Chiefs inayoundwa na kitengo cha Finance ambao ni wakazi wa ghorofa ya sita kwenye mjengo wa Zain wakipozi kwa foto la pamoja jumamosi ya tarehe12/06/2010
Kikosi cha Pamoja Titans wadau wa ghorofa ya pili katika mjengo wa Zain inayoundwa na Human Resources na Administration kikijiandaa kwa mpambano.....REWARDZ CHIEF waliwabamiza PAMOJA TITANS goli 3 kwa 1
Picha na Mdau Mrisho wa Sollatek


No comments: