NDUMBA ZITUMIKE WAAFRIKA---WORLD CUP


kipa wa Ilala pichani akiwa na hirizi mkononi ili kuweka booster uwezo wake wa kudaka


Habari Braza!!
Nasikitishwa sana na matokeo mabaya ya Timu za Africa katika kombe la world cup linaloendela...Yaani Vuvuzela zoote zile ni waGhana peke yao hadi sasa ndo wametutoa kimasomaso..watu wanakaribia kupata matezi ya shingo kwa kupuliza ile midude lakini bado tu..Braza kama unaweza kufikisha ujumbe waambie wamuone huyu nyanda wa Ilala(Pichani) awaazime hiyo hirizi wake.Kama uchawi hauvuki bahari basi waipeleke sauzi kwa njia ya barabara.

Mdau Gill

No comments: