AJALI NZEGA

Mdau Mrisho amepata ajali maeneo ya Nzega kilomita kama 51 hivi kufika Tabora Mjini..Yeye mwenyewe yuko fit na ndio ametuma picha hii...Tairi ya nyuma ilipiga mzinga na baadae ndinga ikaacha njia bahati haikupinduka..

No comments: