AJALI KIMARA

Basi la Sumry ambalo ndio kwanzalilkikuwa limeanza safari yake ya mkoa likiwa limekatisha safari hiyo baada ya ajali mitaa ya Kimara maeneo ya Bahama mama...
Pichani Break down ikifanya kazi ya ziada kulibeba basi hilo ambalo lilipata ajali.Wadau pasipo kujali chanzo ni nini najiuliza hivi inakuwaje madereva tunaowaamini kutupeleka makwetu mikoani wanadiriki kuendesha hovyo na hatimaye kusababidha ajali hata kabla ya kilometa kumi toka kitua=o cha mabasi Ubungo...
Kwa wanaoishi njia hii ya Barabara ya Morogoro road mtakubaliana na mimi kuwa hali hii ni ya kawaida sana aidha wakati magari yanawasili toka mikoani ama kuondoka ni kawaida yao kusababisha ajali ama kukosa kosa kuleta ajali..
Tatizo nini??


No comments: