RAIS MTARAJIWA

Heka heka na masham sham yanapopamba moto kuelekea Uchaguzi Mkuu...Picha hii kanitumia Mdau Hugo aliinasa siku ya makaribisho ya Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendelea CHADEMA Dr.Wilbroad Slaa kwenye viwanja vya jangwani-Dar es Salaam

No comments: