UZINDUZI KAMPENI ZA MNYIKA

Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Dr.Wilbroad Slaa(Kulia) akimnadi Mgombe Ubunge wa Jimbo la Ubungo kijana mdogo John John Mnyika katika mkutano wa handara uliohudhuriwa na umati wa wakazi wa Ubungo eneo la Kimara SUCA,Jijini jana.
NIlivutiwa na bango hili la kundi moja wapo la vijana waliosafiri kwa miguu toka Makondeko kata ya Kwembe kuja kumhakikishia kamanda wao Mnyika kuwa wako tayari kwa mabadiliko.

Aliyekuwa mwanachama wa CCM,baadae CCJ na mbuge wa Kishapu aliyemaliza muda wake Ndugu Mpendazoe nae alikuwepo kumpa sapoti JJ Mnyika mwana wa Ubungo.
USHUHUDA
Umati uliokuwepo eneo la Suca Kimara jana ni uthibitisho wa utayari walio nao wana Ubungo kumchagua Mnyika ukilinganisha na mkutano wake wa kwanza mwaka 2005 pale sinza viwanja vya shule ya msingi mashujaa...


No comments: