
Amanda pichani akitupa tabasamu maridhawa mara baada ya kufunga pingu za maisha na mwandani wake Magu.Kwa wanaokumbuka kisura huyu alipata kuwa top 5 katika shidano la Miss Universe mwaka 2006 ambapo Flaviana Matata aliibuka mshindi....hongera!

Familia takatifu......Bwana Harusi na Bibi Harusi mara baada ya kutangazwa rasmi na itifaki kuzingatiwa.....
No comments:
Post a Comment