BENZI LA PREZIDAA WA ZENJI ENZI HIZO

Kutoka Jumba la makumbusho la Beit el Jaib "Jumba la Maajabu" visiwani Zanzibar mdau Kitumbu ametuletea hii.Pichani ni gari lililotumika na Hayati Sheikh Amri Abeid wakati alipokuwa Raisi wa Zanzibar...Mdau anauliza msafara wakati huo ulikuwa unatembea kwa spidi gani??manaake siku hizi ni zaidi ya 120....


No comments: