MZINGA KAWE ASUBUHI HII


Hii imetokea asubuhi hii mitaa ya Msasani Chama karibu na kituo cha Engen...Toyota GAIA imekula mwereka kwenye mtaro....hivi alikuwa anafanya nini huyu??mbona barabara iko mbali sana...?

Mdau Yakub

No comments: