NIA NJEMA IMETIMIA...

My beloved friends, sisters and brothers!

Napenda kuchukua nafasi hii kwanza kabisa kumshukuru Mungu, Namshukuru Mungu kwa kuwa amenijalia kukutana na marafiki, dada na kaka zangu wa kweli. Mnaojitoa katika shida na raha zinazowafika muwapendao.


Mimi na Mume wangu David – Abraham tunawashukuru sana kwa michango yenu ya hali na mali na hata kuhudhuria kwenu katika sherehe yetu . Kiasi cha kulipa wema huu hakisemeki wala kuhesabika tunachoweza kusema ni kwuwaombea kwa Mungu awatie nguvu ya kuimarisha moyo huu mlionyesha kwetu na awazidishie neema zaidi katika vipato vyenu.

Tunawapenda sana

--------------------------------------------------------------------------------------------

Hongera sana dada Sarah(Shilwa) kwa hatua hii uliyofikia,hakika mafanikio huja kwa wale wenye subira.

Ubarikiwe!



1 comment:

Anonymous said...

mydear kuolewa siku hizi deal, asikwambie mtu