PHILLIP MOGENDI---MGOMBEA UBUNGE KINONDONI KUPITIA CHADEMA

Mjue Phillip Nyanchini Mogendi,Mgembea Ubunge wa Jimbo la KInondoni kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Mandeleo(CHADEMA)....Ni Msomi,Mbunifu,Mcahapakazi na Muadilifu.Hakika Kinondoni imebarikiwa kupata kijana wa aina ya Phillip...Mtembelee katika tovuti yake rasmi http://phillipmogendi.com/ kwa maelezo zaidi na kufuatilia harakati zake za ukombozi wa jimbo la Kinondoni.

Mdaul;Meneja Kampeni.

No comments: