NTOKE VIPI???

Msaaada wa mawazo wajameni....sehemu kama hii na umechomoka mara moja ofisini ukijua fasta unarudi...inakuwaje?Isitoshe ushapigiwa simu kadhaa halafu umedanganya kuwa unakaribia....


1 comment:

Anonymous said...

duh hapo noma sana mkuu yan lazma kazi iote mabawa kwa mpango huo.