ZAIN FAMILY DAY 2010....

Banana Zorro na kundi zima la B-Band lilikuwepo kushusha burudani la kukata na shoka kwa wanaFamilia maridhawa wa Zain
Gwiji la Muziki na Mtunzi maarufu wa vitabu vya 'Unyama wa Mafia' Mzee Zahir Ally Zorro akipozi na Esther Wassira pamoja na Rais wa East Africa Speakers Bureau buraza Paul Mashauri.

Crew ya Nyuz ya Star TV ikifanya mahojiano na Afisa Uhusiano wa Zain buraza Muganyizi Mutta viwanjani Leaders.


Amanda(Miss Universe 3rd runnerup 2006) na mumewe Magu nao pia walikuwepo.Amanda amenigusia juu ya TV show yake anayoandaa itakayotoka hewani mapema mwakani...wadau mkae mkao wa kula



Na mimi sikuwa nyuma kupiga konozzz kama anavosema ankal Misupu...




No comments: