BRAZA YUSUPH na NAIMA WAMEREMETA

Yusuph Kassim Kulindwa akiwa na mkewe Bi.Naeema hotelini Giraffe mara baada ya ndoa yao asubuhi ya leo...Yusuph ni mfanyakazi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam MLIMANI na pia ni webmaster wa tovuti nyingi ikiwemo ile ya Tanzania Youth Vision Association....
Tabasamu na Bashasha...Ndoto zimetimia...hayawi hayawi mbona yamekuwa.....hureeeeee!!

Shahidi wa Bi.Harusi akifuatilia kwa makini shughuli nzima ya ufungishaji ndoa..Zoezi lililofanyika Nyumbani kwa Braza Yusuph huko Changanyikeni Mbuyuni....Dar es Salaam


Shahidi wa Bw.Harusi ambaye ni mimi nikifuatilia kwa makini mfululizo wa utaratibu wa ufungishaji ndoa kabla ya kuanguka siginecha yangu katika cheti cha ndoa.








No comments: