AFRICAN LEADERSHIP ACADEMY


Habari Marafiki,

Je wewe/mdogo wako/rafiki yako ni mwanafunzi wa kidato cha tatu,nne ,au tano?Je ungependa kusoma shule moja na wanafunzi kutoka Africa nzima na sehemu mbalimbala duniani? African Leadership Academy "ALA" ni shule ya kipekee isiyo ya kibiashara iliyoanzishwa mwaka 2008 na huchukua wanafunzi kutoka Africa nzima.

Shule hii inatumia mtaala wa kipekee wa masomo ya “Entrepreneurship,Leadership,African Studies na A-Level za kimataifa yaani University of Cambridge International Exams. ALA ipo mahususi kwa ajili ya kuwaandaa viongozi wa baadaye wa Africa. Shule hii ipo Johannesburg, South Africa. ALA itatoa sholarships kwa wanafunzi itakaowachagua.

ALA itakugharamia huduma zifuatazo:Usafiri kwenda na kurudi Africa kusini wakati wa likizo Uniform na Laptop kwa kila mwanaunzi awapo shuleniChakula na malazi uwapo shuleniShughuli za kijamii nje ya shule ALA watakusaidia ku-apply vyuo vya nje kama Marekani, Uingereza ,, China nk..Wanafunzi waliohitimu mwaka huu wengi wamechagukiwa nyuo nya Oxford ,LSE,Havard,Yale,MIT na vingine vingi Fika ofisi za Darecha kuchukua fomu yako na utapewa maelezo mengine zaidi,kila siku ya Jumatatu hadi Jumamosi saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni.Mahali: Shuka Urafiki,Jengo moja na Elimika Training College ,Ghorofa ya Kwanza ,Barabara ya Morogoro, Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 12-12 -2010.Wahi sasa usisubiri dakika za mwisho…!!!!

Muhimu: Darecha ni wakala rasmi wa ALA Tanzania 2010. Darecha itakusaidia kukupa mawazo na kuirekebisha fomu yako ili iwe na nguvu zaidi.Vilevile Darecha itakufanyia recommendation na kuituma fomu yako. Watumie marafiki zako ujumbe huu

Kwa mawasiliano zaidi.Email : explocolle@darecha.org

Website: http://www.exploccole.darecha.org Phone: 0655549572 (Julius Shirima) : 0713 618388 (Alfred Kiwuyo)

Mdau Alfred

No comments: