BONGO STAR SEARCH WAKAMUA LIVE MLIMANI CITY

Chibidayo akionyesha umahiri wake kwa kuchanganya nyimbo akapera za Bongo na India.
Joseph payne alifunika mbovu kwa nyimbo ya Nasinzia nikikuwaza na baaadae "Kalubandika"

Haji Ramadhani mshiriki pekee kutoka Mwanza aliyebakia katika kumi Bora za BSS akifanya mambo viwanja vya Mlimani city.

Bella Kombo akimvuzisha umati Mlimani city na kwa nyuma ni mshabiki ambaye aliamua kwenda nae sambamba mara baada ya kumtunza


Mdau akishindwa kujizuia kuyarudi mangoma na Bella Kombo alipotumbuiza wimbo wa "where you are" wa Blu3

Ruth Oscar akitumbuiza kwa sauti mororo kitu cha taratibu toka kwa Linah.


Peluci Jacktan a.k.a Ray C akifanya mambo jukwaani jana Mlimani city

Waziri salum akipagawisha Umati kwa nyimbo za kale badala ya Bongo fleva kama walivyomzoea


Nilipofanya mazungumzo Back stage,pichani Joseph Payne akipozi na Waziri salum mbele ya kamera matata ya Nipenikupe..







No comments: