NANI KASEMA USIJE MJINI??

Shukrani kwa Mr&Mrs Magulya jana bajeti ya lunch na dinner vilikaa pending baada ya kualikwa Lunch....Nilipiga Biriani mpaka nikaeka jingine reserve...Nisije Mjini???nani kasema...

No comments: