
Happy John siku ya Sendoff yake alhamisi tarehe 25/11/2010 iliyofanyika Ukumbi wa Mbezi Garden

Tulifwatilia kila tukio likiwepo hili la ufunguzi wa shampuu ooh sorry shampeni ambalo aliliongoza Happy mwenyewe na wadau wengine

Tuliruka ukuta hadi kwenye gari lililomleta pia kabla hata yakuingia ukumbini

Hongera sana Happy kwa hatua uliyofikia..Mungu akujalie
No comments:
Post a Comment