WADAU WAONGEZA WELEDI

Mdau Salum Seif wa Momentum Insurance akipozi na nduguze Aisha,Dr.Ibwe(Kushoto) na Mohamed mara baada ya kukamata shahada ya Uzamili kutoka IFM,Ijumaa iliyopita
Mtaalam wa Software mzee mzima Atilio Ngonela akipozi na nduguze baada ya kupata nondoz zake IFM.Atilio kwa sasa anafanya kazi Airtel Tanzania

Ni furaha na vifijo..meno njeeee..!


Mjasiriamali Solomon Zablon akiwa bize kwenye simu.ni kama anasema "tayari nishagraduate..."

Solomon akipozi mbele ya kamera ya ipenikupe

Mdau Ahaz Mwakatobe wa Airtel nae alikamata shahada yake ya pili IFM

Airtel wakimrusha hewani Ahaz na hapa nae kama Solomon anaonekana akitoa ripoti nyumbani Mbeya kuwa huku ni full "Ugonile...ndaga kyara nimemaliza salama"

No comments: