NAMUEKA ALAMA

Sasa ni rasmi...sio mambo ya kuiba iba tena...Pichani nikimueka alama mai switishka Sarah nyumbani kwao Kibaha.Mungu atujaalie mapema mwakani tufunge mijipingu ya laifu taimu..!

1 comment:

Anonymous said...

Hongereni sana na mungu awajalie uzao wa kiume
na mjitahidi kuilinda furahayenu kwa gharama yoyote .