MNYIKA ndani ya BBC

Mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya BBC Wanyama Wachigwisiri(kushoto) akifanya mahojiano na Mbunge Mteule wa Jimbo la Ubungo Buraza John Mnyika kabla ya kutangazwa kwa matokeo..Mnyika alikuwa akijaribu kuueleza Ulimwengu juu ya hali isiyoeleweka ya Ucheleweshwaji wa matokeo uliohusishwa moja kwa moja na Uchakachuaji.

No comments: