safari ya kutoka ZAIN kwenda AIRTEL

Ally Kiba akipozi kwa Picha na Rais Kikwete wakati wa Uzinduzi wa Airtel Tanzania...
Menejimenti ya Airtel Tanzania ikipozi kwa picha na Rais kikwete pamoja na Salim Ahmed Salim
Steve Torode,Mkuu wa Operesheni wa Airtel ukanda wa Afrika Mashariki(kushoto),Salim Ahmed Salim,Rais Kikwete,Sam Ellangaloor(Mkurugenzi Mkuu Airtel Tanzania) na Chiruyi Walingo Chief Commercial Officer Airtel Tanzania.
Rais Kikwete akizindua Rasmi jina la mtandao namba 5 kwa ukubwa duniani Airtel.Tanzania ijiandae kwa mapinduzi makubwa ya huduma za teknolojia ya mtandao na Uhuru wa kuwasiliana.
Feel Free.


No comments: