
Binti Mrembo pichani anakwenda kwa jina la
Zuhura Mrisho....aliwahi kuwa face of Tanzania na kutuwakilisha vema Bondeni kwa Madiba katika face of Africa.Baada ya kugeuzia macho kwenye Muziki na kutoa ngoma kali kama Limupenzi,Sitaki,Kabupilipili na nyinginezo nyingi ikiwemo ile ya Mpenzi alomshirikisha Banana sasa amekuja na wimbo mpya pamoja na Video kali ya 'Songesha'..Wiki Ijayo tutafanya mahojiano nae LIVE hapahapa kwenye Busati la Nipenikupe....
1 comment:
MTOTO BOMBA HUYU NIPE NAMBA YAKE
Post a Comment