SALAM TOKA CONGO...ROAD TO MAMA

Mdau Gillsant a.k.a Babalove akipozi na Fally Ipupa mara baada ya kuporomosha show kali katika concert la Road to Mama lililofanyika ukumbi wa Le Grand Kinshasa Jumamosi
Unaambiwa kitu cha mvua kilidondoka Ijumaa Usiku kiasi cha kusababisha barabara kuanza kuwa ze river between katikati ya Jiji mitaa ya Kayembe Chez Ntemba Night Club...

No comments: