MUWEZESHE MSECHU TUSKER PROJECT FAME...

Ndugu zangu waTanzania tunayo nafasi ya kumuwezesha Peter Msechu,Mtanzania pekee aliyebaki katika shindano la kusaka Star wa muziki wa Tusker.Kumpigia kura andika neno "Tusker 9" kwenda namba 15522.Yaani neno Tusker kisha acha nafasi moja andika namba tisa.Kumbuka kura yako ndo itamwezesha mshindi huyu namba mbili wa Bongo Star Search 2009 kuwazidi wenzake wengine SITA waliobakia kwenye TPF na hatimaye kunyakua ubingwa wa TPF 2010...Shime shime wadau...!

No comments: