WAMESHINDWA KUCHAKACHUA

Wananchi wakisherehekea Ushindi wa Mbunge kipenzi cha wakazi wa Ubungo,mtoto wa Sinza John John Mnyika....
Bw.Ndunguru msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ubungo akimtangaza rasmi John Mnyika kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo

Kundi la Wanavyuo waliojiundia kikosi maalum cha Tafuta,Piga na Linda (TAPILI) kura wakitekeleza kipengele cha tatu cha ajenga ya cha 'Linda kura' mpaka kieleweke.


Hayawi hayawi sasa yamekuwa...Yametimia



Mbunge Mteule wa Jimbo la Ubungo Braza John Mnyika wa CHADEMA akihutubia umati wa watu shule ya sekondari Loyola mara baada ya kutangazwa Mshindi kwa tofauti ya kura takriban 16,000 dhidi ya Hawa NgĂșmbi wa CCM




No comments: