BIASHARA IMANI

Wanaposema msingi wa Ujasiriamali ni kuthubutu basi hawa wauza picha wanathubutu kupitiliza...Wanakuvizia,wanakutwanga picha,wanatoka mbio kwenda kusafisha na kurudi kuzisambaza ili utamani na hatimaye kununua...Najiuliza inakuwaje kwa wale ambao wataamua kutonunua????Picha hii nilipiga siku ya Mahafali ya Chuo kikuu cha Afya na Sayansi Muhimbili.

IFM niliwakuta,UDSM niliwakuta na hata kesho naamini nitawakuta PTA(Mzumbe Dar Graduu) na uwanja wa Uhuru(TIA Graduu)

Kweli Biashara Imani!!

No comments: