DALADALA NGALANGALA







Kitu kimoja nilichogundua kinafanana katika kila daladala ninayokutana nayo hapa Kinshasa ni kuu-kuu yaani mbofu mbofu...Sasa najiuliza je!ndo kivutio cha utalii au hela zote zimegeuzwa kiingilio cha bendi kwenye Bakulutu...
Mdau--Mapumzikoni DRC Congo




No comments: