HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA

Kibaha Maili moja hapa..Jamaa anaamini iko siku na yeye atamiliki vibaiskeli vingi vya matunda kama ilivyo vile vya kuuza Ashkirimu za Bakhresa...hayahaya Biashara Imani Mwanawane..

No comments: