SABABU YA KIFO CHA PWEZA PAULO

Kama ulikuwa hujui ndo ujue hivyo....na ukitaka ushahidi basi fika Upanga kwa Muchacho ujionee mwenyewe ripoti ya Uchunguzi kama inavyoonekana pichani...We soma maandishi yaliyoandikwa kwa mkono hapo juu


No comments: