VIPAJI....

Vijana hawa ukiwaona utadhani unaangalia Super Sports TV....ni hatari lakini si denja kuangalia na kufurahia.
Maujanja na Maujuzi ya ku-BIKE

Juu ya Jukwaa,bila wasiwasi wowote dogo anaipindua pindua Bike kwa ustadi mkubwa.
Mdau,
Huenda umekutanna na vijana wa aina hii wengi na wenye vipaji vingi mbali ya kuimba,kwa nini vipindi vyote vya usakaji vipaji vinalenga zaidi masuala ya muziki?hivi kwani lazima tuwe wote wanamuziki???


No comments: