SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Najumuika na wadau walioandaa Tamasha la Vijana na Ukimwi.Pichani nipo na kikosi kazi cha Tanzania Youth Vision Association(TYVA) pamoja na Vitalis Maembe mzee wa Sumu ya Teja(pili kushoto).
Umati wa wakazi wa Dar es Salaam na wa maeneo ya Jirani ya viwanja vya Kinondoni Biafra wakifuatilia kwa makini mada na burudani iliyolenga kuhamasisha kujiamini na kutochakachua maisha yao ya vijana na hatimaye kupata Ukimwi.

Vitalis Maembe(Mzee wa Sumu ya Teja) akiwa kazini akimwaga tenzi na ghani zenye ujumbe maridhawa kuhamasisha vijana kupima ili kujua afya zao.


No comments: