KAMA KAWAIDA

Busu mwanana la asubuhi geti la kuingilia Chuo cha Ustawi wa Jamii....Mnaodhani FlyOver ndo suluhisho la foleni naomba muache ushabiki na mfikiri upya..Foleni hailetwi na wingi wa magari kama mnavyodhani,ni sisi madereva wa kuletewa lesenin sebuleni ndo tunayoileta..Dakika mbili baada ya mzinga huu kutokea hii sehemu ikawa haipitiki kabisa....




No comments: