MAZISHI YA WAPAMBANAJI A-TAUN

Jana mazishi ya wanaCHADEMA wawili waliouwawa siku ya maandamano(5/01/2011) jijini Arusha yalifanyika kwa amani bila vurugu yoyote.Viongozi wa CHADEMA,viongozi wa kidini pamoja na waombolezaji takribani elfu kumi walijiongoza wenyewe bila msaada wa polisi kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa vurumai ya tarehe 05/01/2011 kweli ilisababishwa na Polisi.

Mdau

No comments: