
Mheshmiwa Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mjini akiwa Ofisini kwake tayari bize kuhudumia wananchi wa jimboni kwake....

Pichani Mheshmiwa Mbilinyi akiwa na Katibu wake Ndugu Maliki(a.k.a Mkoloni)

Danny Msimamo akiwa ofisi ya Mapokezi kwa Mbunge tayari kutoa huduma kwa wanaMbeya
No comments:
Post a Comment