KUNA MASHAROBARO NA MASHAROUHARO

Akihojiwa katika kipindi cha Take ONE,Hemed alitoa msamiati ambao kwangu mimi nimeusikia kwa mara ya kwanza...eti kuna Masharobaro na MasharoUHARO....du!!eti President wa hao masharoUHARO ni Mlela...Hii ni noma aisee...!



No comments: