JAFFARI ALLY MSHAMU maarufu kama JAFFARAI ametangaza kuachana na mpenzi wake ambae ni Meneja Uhusiano wa benki ya NMB Shy-Rose Bhanji Jaffarai ametangaza habari hiyo kupitia mtandao wa facebook na alichosema ni hiko chini... "NIMEAMUA KUACHANA NA ALIEKUA MPENZI WANGU KWA TAKRIBAN MIAKA 8 SHYROSE BHANJI.. "
No comments:
Post a Comment