Ndugu wanachama na marafiki wa TYVA,
Asasi yetu imeandaa tukio la kutukutanisha siku ya jumamosi 05.02.2011 kuanzia jioni saa 12 pale Tamal Hotel, Mwenge.Tukio litawaleta karibu wanachama wa TYVA wakongwe na wapya, vijana ambao si wanaTYVA lakini wenye mapenzi mema na Taifa letu.Tiketi za kiingilio zimeandaliwa Tsh 5,000/- (Hii ni nje ya gharama za vinywaji na vyakula ambavyo wahudhuriaji wanatarajiwa kujilipia).
Wasiliana na Joseph Ngoja 0714-595440
Mavazi: Casual!
Karibuni sana kushiriki
No comments:
Post a Comment