NANI MWENYE HAKI YA KUPITA KATIKATI

Foleni zingine za bongo husababishwa na ubishi pamoja na ubabe wa baadhi ya waendesha magari. Ona hapa, ilikuwa ni majira ya Jioni baada ya uchovu mwingi wa kazini....jamaa huyu mwenye pick-up ya Serikali akitokea mwenge alileta ngumu ya kuchomoka kwenye njia ya katikati, ibabidi mzee mzima nihamie upande wa pili na kuacha zengwe likiendelea......

No comments: