NYUMBA INAPANGISHWA BEI CHEE GONGO LA MBOTO..

Nyumba nzuri inapangishwa ipo Gongo la Mboto inatazamana na kambi ya Jeshi la Wananchi Tanzania ipo kwenye fensi ni self contained ina vyumba 4 sebule 2 jiko,mabafu matatu,vyoo vinne,library,tiles,gypsum,full AC,automatic generator,bembea,swimming pool,stoor 2,bustani ya kupumzika na servant quarter 1 na viwanja vya michezo mbalimbali kodi ni 30,000/=(Elfu Thelathini) kwa mwezi na mwenye nyumba anapokea hata kodi ya mwezi mmoja mmoja.

Tuwasiliane!!

No comments: